Odeon Cinema

12160 reviews

junction, Latema road, Tom Mboya St, Nairobi, Kenya

+254717541846

About

Odeon Cinema is a Movie theater located at junction, Latema road, Tom Mboya St, Nairobi, Kenya. It has received 12160 reviews with an average rating of 3.9 stars.

Photos

F.A.Q

Frequently Asked Questions

  • The address of Odeon Cinema: junction, Latema road, Tom Mboya St, Nairobi, Kenya

  • Odeon Cinema has 3.9 stars from 12160 reviews

  • Movie theater

  • "Alama nzuri sana inayoonekana, haswa kwa wavulana ambao hawafahamu jiji kwa hivyo wanaweza kukutana hapa"

    "Hapa ndio Mimi hupanda nayo mat za kwenda Ruiru"

    "Amazing experience at odeon cinema"

    "Bus station ya ruaka, lavington, kileleshwa, kangemi, Westlands"

    "Hii ni kanairo aisee"

Reviews

  • David Njenga

Alama nzuri sana inayoonekana, haswa kwa wavulana ambao hawafahamu jiji kwa hivyo wanaweza kukutana hapa. viungo kadhaa vya vyakula vya haraka ndani na nje ya jengo kwa ajili ya vitafunio na vinywaji baridi na moto. Kawaida huwa na msongamano wakati wa jioni, hasa wakati wa mvua.

  • Mass Angah

Hapa ndio Mimi hupanda nayo mat za kwenda Ruiru. Hapa ukuwe tu careful jamaa ama utaperembwa

  • victor kilonzo

Amazing experience at odeon cinema. Hapo nje chunga mizigo yako and walk fast …

  • Rich Omondi

Bus station ya ruaka, lavington, kileleshwa, kangemi, Westlands

  • Jeff Douglas

Hii ni kanairo aisee. Hakuna base msee huwa rada kama odeon.

  • Bernard Blades

Wengi tunajua stage ya odeon na hatujawai ingia hio building

  • Patrick Waithaka

Pastor Pius muirus territories..yaaaani kuna nuru gizani.

  • cklines designs

Buruburu,outering ,umoja busses,on tom mboya street side

  • John Higi

Ruaka, Ruiru, Kileleshwa, Kilimani, Arboretum bus stop

  • Johnson Nyakinda

stage to kangemi kabete rounder, uthiru dumbo gashie

  • Andy Kaihuri

It's okay during the day but usiku inanuka tu mkojo

  • Hassan Samriye

Bus stage for Pangani, kileleshwa kilimani etc

  • Ian Kweli

It's the meeting point, hakuna mtu hajui hapa

  • Lilechi Vincent

Ruiru, Kileleshwa , Westlands stage

  • john tehju

Stages for ruiru, kahawa wendani,ku

  • Lucy Mwangi

Kuna nuru gizani with pastor Muiru

  • Mucina Kigoro

Nice very nice. Mapema ndio best

  • Infinity Services

Chunga Mali yako hii area

  • Ian Daniel Mathenge

Najua kuko tu sawa

  • Joseph Maina

Westlands matatus

  • stone muriuki

Nilipata hapo nje

  • SkidaH EnterpriseS

Huku unakaa rada

  • Moses Mwangi

Kuna nuru gizani

  • Waiganjo Chege

Kazi iende sana

  • MC Corpral Ontumbato.

Ahsante sana

  • Ogachi James

Matatu stage

  • Ian Mbunde

Chunga simu

  • Richard Munyao

Matatu

  • Frank Onchari

Mzuri

  • kiplangat rono

Wizi

Similar places

Anga CBD Cinema

5011 reviews

Mama Ngina St, Nairobi, Kenya

Nairobi Cinema

4272 reviews

Uchumi House, Aga Khan Walk, Starehe, Kenya

Century Cinemax

2442 reviews

Junction Mall Parking Hall, Ngong Rd, Nairobi, Kenya

Westgate Cinema

2254 reviews

Mwanzi Rd, Nairobi, Kenya

Anga Diamond Cinema - Diamond Plaza 2

1050 reviews

Diamond Plaza, II Pramukh Swami Ave, Nairobi, Kenya

Prestige Cinemas

938 reviews

Ngong Road P O 45425, Kenya

Anga Sky Cinema Panari

851 reviews

Panari Sky Centre, Mombasa Road, Nairobi, Kenya

Century Cinemax, Sarit

500 reviews

Sarit Centre, 2nd Floor, Rooftop Garden, Karuna Rd, Nairobi, Kenya

Unseen Nairobi

344 reviews

Wood Ave, Nairobi, Kenya

Century Cinemax Two Rivers

294 reviews

QQQV+HRQ, Nairobi, Kenya