47VF+P2H, K/koo uhuru, Dar es Salaam, Tanzania
Uhuru Stadium is a Stadium located at 47VF+P2H, K/koo uhuru, Dar es Salaam, Tanzania. It has received 1393 reviews with an average rating of 4.4 stars.
The address of Uhuru Stadium: 47VF+P2H, K/koo uhuru, Dar es Salaam, Tanzania
Uhuru Stadium has 4.4 stars from 1393 reviews
Stadium
"Uwanja wa Uhuru ni uwanja wa michezo unaopatikana wilayani Temeke, jijini Dar es salaam nchini Tanzania"
"The nice stadium niuwanja mzuli kwa taifa letu ta tanzania sisi watanzania tuanjivunia sana kuwa na uwanja kama huu wa mpila hakika selikali yetu inatupenda na inajitaidi kuakikisha michezo inafika mbali kitaifa na kimataifa kazi ni sisi wananchi wenyewe tujitaidi sana"
"Uwanja mzuri kiasi"
"Ni uwanja wa taifa mkongwe Tz,ktk hali ya kawaida umetulea sana watanzania"
"It was fuuun"
Uwanja wa Uhuru ni uwanja wa michezo unaopatikana wilayani Temeke, jijini Dar es salaam nchini Tanzania. Uwanja huu hapo awali ndio ulikuwa ukitambulika kama uwanja wa Taifa, kabla serikali ya awamu ya tatu iliyokuwa ikiongozwa na Mh. Benjamini William Mkapa kwa juhudi kujenga uwanja mkubwa zaidi na wa kisasa pembeni yake ambao kwa sasa ndio unatambulika Uwanja wa Taifa. Uwanja wa uhuru ni miongoni mwa viwanja maarufu zaidi nchini kutokana na kutumika kwenye shughuli mbalimbali za kijamii mfano matamasha ya muziki na hata makongamano mbalimbali ya kidini. Lakini pia uwanja wa Uhuru pia hutumiwa kwa shughuli mbalimbali za kiserikali mfano sherehe za maazimisho ya Uhuru, sherehe za maazimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na hata sherehe za kuapishwa kwa marais mbalimbali waliotangulia. Zaidi uwanja wa Uhuru hutumika kwenye shughuli za michezo hususan mpira wa miguu ambapo timu mbalimbali za jijini Dar es salaam mfano Simba na Yanga na hata timu za Taifa zimekuwa zikiutumia uwanja huu kwenye michezo yao ya ligi ama ya kirafiki.
The nice stadium niuwanja mzuli kwa taifa letu ta tanzania sisi watanzania tuanjivunia sana kuwa na uwanja kama huu wa mpila hakika selikali yetu inatupenda na inajitaidi kuakikisha michezo inafika mbali kitaifa na kimataifa kazi ni sisi wananchi wenyewe tujitaidi sana
Uwanja mzuri kiasi.. una nyasi bandia..unatumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu pamoja na matamasha mbalimbali...una eneo la VIP pamoja na eneo la viti vya kawaida..pia umezungushiwa uzio na mahali pa kuegesha magari japo sio pakubwa...
Ni uwanja wa taifa mkongwe Tz,ktk hali ya kawaida umetulea sana watanzania
Papo vuzuri japo panatakiwa kubireshwa
Uwanja wa taifa